Monday, 9 March 2015


 Gazeiti la mwanadada Rose Ndauka ambalo linaenda kwa jina la ROZZIE ambalo hutoka kila siku ya jumatatu limeendelea kufanya vizuri kwa kutoa taarifa mbalimbali za wasanii wa Kitanzania na kutoka ughaibuni kwa sasa limetoka na taswira mpya ya mwandada maarufu kwa jina la LULU akifunguka kuhusu Marehemu Mh.Komba na wasanii wengine rukuki ndani yake.
Kwa Taarifa zaidi tembelea hapa!

No comments:

Post a Comment